Jipu la kwapa!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Jaman mwenye kuweza kuweka uu wimbo wa "jipu la kwapa""hilooo anisaidie humu ndani nimesikia leo nimufurahi sana..nilipousikia kwenye clouds mchana na wakina gea!!!.jipu la kwapa ukilishika alishikiki ukilibeba alibebeki..ukinyanyua mkono linauma ukishusha chini linaumaa...jipy la kwapa hiloo...nk...jipu likikushinda achana nalo usilibebe lisilobebeka ...loh kwanza wimbo umeniacha kwenye misamiati...kdogo
 
M-PM Bwabwa, am sure atakuwa nao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…