Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
hongera....unatengenezaje website bila ya css na php?
una modify au unatengeneza maana watanzania huwaga ni wakali wa kutumia joomla na wordpress hawana muda wakukaa chini na kuandika code.
coding ni time consuming, nani yuko tayari kulipia huo muda? whats wrong with joomla na word press? Au unadhani watu hawajui coding? Mbona website nyingi sana duniani na za makampuni makubwa na taasisi nyingi za serekali zinatumia joomla? Kama unataka kuzijua ingia kwenye website ya joomla halaf tafuta "who uses joomla" utaona....
Sio kila kitu ni kucritisize tu... Biashara ya templates na CMS za bure haijaanzia Tanzania... (Kawaulize Wamarekani kwanini Walianzisha na Nani wateja)
Haa sa kila website ndo ifanane?? Nikope sample uone utamu wa coding?
Ili kudesign template yako binafsi na zisifanane na za wengine si lazima ujuwe coding. Mambo hayo watu hawahitaji tena siku hizi na utapoteza muda bila sababu yeyote.
Kwa mfano angalia website HII sijafanya coding yeyote na hiyo ni template nimedesign mwenyewe kwa kutumia softwares. kama una mwingine umemuona nayo niambie.
Mkuu ukubali sikubali kujuwa code si kujuwa kudesign website wala hakuna uhusiano. Toa link ya web 2 ulizo-code na unadhani ni unique kama unavyotaka kuwaaminisha watu hapa.
Kufanana kwa website hakuhusiani na tempelates zinazotumika. Ni Uvivu au kutokujua ku edit hizo codes. Naweza nikakukutengenezea website zaidi ya tano tofauti zisizofanana hata kidogo based on only one template Nadhani Hujaelewa maana ya tempelate na hujafahamu kama hizo ni skeletons tu.Haa sa kila website ndo ifanane?? Nikope sample uone utamu wa coding?
[TABLE="class: hbtbl, width: 100%"]
[TR]
[TD="class: stxt2"]23 Feb 13, 09:19 AM
fadhili: Karibu mgani, tafadhari acha ujumbe wako hapa[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: stxt"]23 Feb 13, 09:19 AM
fadhili: pen testing[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: stxt2"][older messages][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Haijaniimpress cant pay for such kind of thing.....
Ebucheck hizi afu uone tofauti
cheki hii
na hii
hizo za code unacheck impression kwanza afu angalia na muda inayotumika kufungua plus jaribu kufungua kwenye browser zote na kwenye handheld device.. Kubali mkatae kutumia templates ambazo zipo ni uvivu tu lakini there z no need to kubishana cheap is expensive...
CHECK click hii inaudhaifu gani au strenth gani Fadhili