Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,899
Durability?
Mkuu hiyo ni bei ila daah ipo "Chini ya usawa wa bahari" . Jiongeze kidogo mkuu, njoo PM/WhatsApp tufanye mapatano!Laki mkuu
[emoji23] Mkopo keshoMkopo vipi mkuu? Hari Uchumi si nzuri
Busara si kusema tu havina ubora, ungeeleza havina ubora kivipi? au tafsiri ya "ubora" kwako ni nini?. Au unaposema havina ubora unavilinganisha na vipi ambavyo kwa mtazamo wako viko bora? Usiwe mtu wa kulaumu, kushtumu, kukashifu tu , toa facts na pendekeza solution kama unaona kuna tatizo. .Vinginevyo usiharibu biashara ya mtu! Ustaarabu ni muhimu.hv vidude havina ubora wowote