Jipatie nyumba sasa kwa bei nafuu!

Jipatie nyumba sasa kwa bei nafuu!

SirLuke

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
75
Reaction score
8
Nyumba inauzwa, kwa bei nafuu kabisa.
Mahali: Mikocheni A Dar es salaam.
Ina vyumba vinane, pamoja na frem moja ya biashara. Ipo pahal pazuri ni karibu kabisa na barabara. Ina choo cha nje cha kufrash.
Bei ni TZS170,000,000/=
wasiliana nami:
0757052741
0713535562
e-mail: otaligamba5@gmail.com

Hii ni ya kweli na haki zote zipo.
 
Weka mapichapicha tujionee wenyewe kabla ya kufunga safari kuja mikocheni
 
sio msasani bonde la mpunga kweli?? weka picha sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom