Jipatie novels (softcopy) kwa bei nafuu!

OnlineFinancial

Senior Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
117
Reaction score
97
Habari wana JF!

Kama heading inavyojielezea, leo nawaletea novels kuanzia bibliography za watu mbali mbali,drama mpaka fiction! Zinapatikana kwa muundo wa PDF na EPUB!! kwa wale ambao hawana EPUB reader nitawapatia for free!

Zinapatikana moja moja au kwa full collection. Collections ambazo zipo...

  1. Sydney sheldon
  2. Tom Clancy
  3. Robert Ludlum
  4. Miranda Bliss Collection
  5. Agatha Christie Collection
  6. James Hadley Chase
  7. Paulo Coelho
  8. napolen hill
  9. John Grisham Collection-EPUB
  10. Suzanne Collins


Na nyingine nyingi kwa ajili yako!!

Bei ni 2000/= Tsh per piece. Pia unaweza pata kwa collection!!

Delivery: Through E-mail!

Contact: 0684 501868

If we encounter a man of rare intellect, we should ask him what books he reads. -Ralph Waldo Emerson

There are many little ways to enlarge your child’s world. Love of books is the best of all. -Jacqueline Kennedy Onassis

Karibu tukuze uelewa wetu kwa kusoma vitabu!!
 

Attachments

  • images.jpg
    7.5 KB · Views: 49
Mleta mada kama utakua na vitabu vya godfather naomba ni PM tufanye biashara!!
 
Pia kama una vitabu vya mandela, Vladimir Pun na obama!! usisahau kunicheki mkuu!!
 
tunataka vitabu vya ujasiliamali thithi. au hujui maana ya hapa kazi tu? nanai anamuda wa kusoma mahadithi
 
tunataka vitabu vya ujasiliamali thithi. au hujui maana ya hapa kazi tu? nanai anamuda wa kusoma mahadithi
Pia na vyenyewe vipo vingi tu!!

Vipo vya
  1. Paulo Coelho
  2. Nepolion hill
  3. Robert Kiyosaki
Na vingine vingi!!

Karibu sana kiongozi wangu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…