wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.