Ya mtumba pia?
Bei tafadhaliMashuka yote hapa ni ya futi tano kwa sita.
Yanafaa kwa kutandika na kujifunika.
Siyo cotton kwa 100%.
Ni ya mtumba.
Muonekano ni poa sana.
Yanapatikana Dar.
Mawasiliano ni 0719222781 au karibu pm.
Picha zimeambatanishwa na bei chiefBei tafadhali
Blogger & Trainer
Hahaha nauza tu kwa 150,000 kinaachiwa kwa roho nyeupeNahisi Kuna watu watakuja kuuliza na kitanda maana jf
Sent usingNokia Obama
Hili limesimama mkuu