everythingood
Member
- Feb 20, 2017
- 97
- 39
Ilikuaje mkuu ni Kali sana auNiliinunuaga miaka minne nyuma ikiwa packed kuja kuifungua harufu ilinishinda nikaigawa
Zipo zenye harufu kali na zilizotulia ilitakiwa umwambie muuzaj akuonyeshe zenye harufu iliyotuliaNiliinunuaga miaka minne nyuma ikiwa packed kuja kuifungua harufu ilinishinda nikaigawa
kati ya hzo za 20 elfu.. Ipi ni mzur sana for man(wanaume)A wish-20,000
A wish oud-20,000
Success woman-20,000
Flowing time-20,000
Dynamic-20,000
Redshell&goldshell-20,000
Beautyrose-20,000
Beauty-20,000
Garden-20,000
Miss you-20,000
Lucky flower-20,000
Gift set zote-35000
Za kiume kuna eternal royal,forever ila zimeisha..zimebaki za 30,000-45000kati ya hzo za 20 elfu.. Ipi ni mzur sana for man(wanaume)