Jinsigani nimtongoze?

kabunda88

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
3,094
Reaction score
2,694
waungwanaaaa msaada tafadhali

kuna kibinti kizuri yaan pini ya maana udenda tu unanitoka hapa tumekaa siti moja kwenye gar mi naenda Moro yeye sijui,, kamekula kavu hatar hata salam yangu hakajaitikia,,
kwa wale manguli wa kutongoza nianzie wapi wakuu
kakikubali haka nafanya mke kabisa
naweka ndani yaaan
she is so cute ...God anajua kuumba kwakwel.
 
kama una kabunda88 cha pesa mshikishe.
 
Una bei gani unirushie kwenye Mpesa fasta nikupe maujanja? Si unajua consultation za kijanja sio free mkuu!!??
 
Reactions: MC7
[emoji23] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mkuu kutongoza hujui mpaka uombe huku?? interesting....
 
Sasa mkuu kutongoza hujui mpaka uombe huku?? interesting....

Kila mtu na sehemu yake anayojua mfno wewe unajua jinsi ya kuwa wa kwanza kureply but hujui kuwa wa mwisho Ndo ilivyo kwa mleta mada hajui vocabularies za kumweka sawa mrembo mkali mkali aka kisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…