Jinsi ya kuunlock ZTE MF190

danmarc

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Posts
575
Reaction score
146
Je ninaweza kuiunlock hii modem ya airtel zte mf 190? Naomben hizo njia za ku-unlock.
 
download software inaitwa dccrap..search google utaiona..ukishaifanya installation run it. plug your modem ikiwa na line tofauti..modem yako ikishasomwa na dccrap bofya sehemu iliyoandikwa unlock.kwisha kazi
 
hiyo unlocker haiitaji credit maana mi nashindwa kabisa
 
Je ninaweza kuiunlock hii modem ya airtel zte mf 190? Naomben hizo njia za ku-unlock.

ingia 4shared.com afu jiregister then search 4 a software known as DCCRAP yan ndo dc unlocker install it then

chomeka modem yako kwny zle port ikiwa na LINE TOFAUTI NA MTANDAO ULIO NUNULIA.
Baada ya hapo itakuwa detected na program ya modem kidashboard kitapop-up kicancel then Launch DC UNLOCKER
then change device pale kuwa ZTE datacards afu nenda chini kwny auto detect click pale mpaka modem yk itasomwa details pale chini ukimaliza nenda upande wa kulia wa dc unlocker juu utaona unlock click hapo thn u'll b done!
 
jamani mm nimeiunlock modem kama hiyo na kuna software nimeidownload na kuinstall lakini mpaka sasa Dashboard siioni, hata nikichomeka hiyo mderm katika pc nyingne haileti ile wizard ya kuinstall dashboard yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…