Hb wa Ilala
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,190
- 1,217
Kwani hamjisafishi baada ya tendo?duh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
..Lazima afanye usafi baada Ya tendo akilala nazo ataugua sana downstairs aiseeduh kazi ipo...maana mchepuko wangu akija home nikitupiamo wazungu sasa ikifika asubuhi naogopa hata kumgusa maana huko downstairs kunakuwa na ka harufu kama tuko Feri.....inaonekana ka eco syteam kake kabovu nini?
huku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANAKwani hamjisafishi baada ya tendo?
Fanyeni mchana basiπππ joke, apite pharmacy kubwa au supermaket kubwa kuna wet wipes awe anajipangusa nazo na wewe pia.huku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANA
Ha ha ha hahuku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANA
Salute!!!Fanyeni mchana basiπππ joke, apite pharmacy kubwa au supermaket kubwa kuna wet wipes awe anajipangusa nazo na wewe pia.
Ni kweli tena wakati wa kutafuta mimba mwanamke anashauriwa aweke mto chini ya kiuno alalie kwa dakika kama kumi baada ya sex, lakini kunawa ni muhimu, tumia maji tu. Uke unajisafisha wenyewe kila baada ya masaa nane.Hiyo ya sperm kuwa na ph kubwa sijaelewa vizuri,
Ila pia solution uliyotoa ya kunawa baada ya sex pia sijaelewa maana njia us mkojo na sex ni mbili tofauti.
Ila pia katika moja ya ushauri wanawake hupewa pale wanapo taka kushika mimba no kutokunawa ili kuruhuru sperm zitembee kuelekea nyumba ya uzazi.
Ufafanunuzi plz
..Kaka ukitaka Mimba tumia styles za deep penetration ILI Sperm zikitoka ziingee kwenye cervix kihurahisi,kawaida ukimwaga sperm sio zote znaingia ndani asilia kubwa hufa mwanzoni pale Ivyo huadhiri PH ya UKEHiyo ya sperm kuwa na ph kubwa sijaelewa vizuri,
Ila pia solution uliyotoa ya kunawa baada ya sex pia sijaelewa maana njia us mkojo na sex ni mbili tofauti.
Ila pia katika moja ya ushauri wanawake hupewa pale wanapo taka kushika mimba no kutokunawa ili kuruhuru sperm zitembee kuelekea nyumba ya uzazi.
Ufafanunuzi plz
[emoji23] [emoji23] [emoji23]huku kwetu kutoka nje usiku ni majanga baada ya show huwa anazimimina naona huwa haziji zote ila kukikucha hata kumgusa HAPANA
mwambie atumie dogstyle au chuma mboga ili mbegu kutunga mimba haraka au anapotaka kutoa mbegu ahakikishe anaukandamiza uume wake kushindilia ili mbegu zikajitunge..Kaka ukitaka Mimba tumia styles za deep penetration ILI Sperm zikitoka ziingee kwenye cervix kihurahisi,kawaida ukimwaga sperm sio zote znaingia ndani asilia kubwa hufa mwanzoni pale Ivyo huadhiri PH ya UKE
..Upo sawa kabisa,Japo hizo style sio applicable kwa Kila mtu kuna wanaoumiamwambie atumie dogstyle au chuma mboga ili mbegu kutunga mimba haraka au anapotaka kutoa mbegu ahakikishe anaukandamiza uume wake kushindilia ili mbegu zikajitunge
Fanyeni mchana basiπππ joke, apite pharmacy kubwa au supermaket kubwa kuna wet wipes awe anajipangusa nazo na wewe pia.
Unasafisha nje si kuwa unaingiza na kufokoa humo ndani, naturally nyapu inajiflush kila baada ya masaa nane.Hizo wipes hazina kemikali? Utanzaji wa nyapu ni sawasawa na jicho.