Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,663
- 167,597
InafanyaNa Vipi inafanya kazi kweye Ving'amuzi
Nina twitter, JF na FB, WhatsApp na Bible na Tenzi
Maelezo basiItumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV..
Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho rimoti?
Kuna aina nyingi sana za TV, AC au DVR kwenye matumizi yetu ya kila siku ambayo hutumia rimoti. Mara nyingi imekuwa vigumu sana kupata rimoti nyingine ya kifaa chako pale kile cha awali kinapopotea au kuharibika.
Kutokana na uvumbuzi zaidi, sasa unaweza kuitumia simu yako ya Android kutatua janga hili pale linapokufika.
Unachotakiwa kufanya ni kupakua App ya IR Universal Remote + WIFI kutoka kwenye Google Play hadi katika simu yako na kisha itakupa maelekezo ya namna ya kuiseti na kifaa cha kilektrokini chochote kile kinachotumia rimoti na hivyo kutatua maswahibu yako.
Download app halafu useme umekwama wapi nikuelekezaMaelezo basi
aisee utakua upungufu wa akili huuHiyo App Nitaidownload Lakini
Nikiwa Naondoka Na Rimoti Ya Home Naenda Nayo Bar Kutazama Mpira, Tv Ya Bar Na Ya Home Zinafanana Basi Nikawa Natumia Ile Rimoti Kuwakera Tu
,Mara Nizime Tv,
Mara Nipunguze Sauti!
Wakiwasha Mi Nazima
, Nimejikausha Ninaiminya Pasi Kuonekana,
Wanahangaika Kucheki Waya Gani Uko Loose[emoji16]
Hiyo Sana Sana Nafanyaga Nikiona Nishatoa Jero Yangu Kucheck Mpila Alafu Timu Ninayoishabikia Ishafungwa .
Nyieeee !!!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna kitu kama ichoItumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV
Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho rimoti?
Kuna aina nyingi sana za TV, AC au DVR kwenye matumizi yetu ya kila siku ambayo hutumia rimoti. Mara nyingi imekuwa vigumu sana kupata rimoti nyingine ya kifaa chako pale kile cha awali kinapopotea au kuharibika.
Kutokana na uvumbuzi zaidi, sasa unaweza kuitumia simu yako ya Android kutatua janga hili pale linapokufika.
Unachotakiwa kufanya ni kupakua App ya IR Universal Remote + WIFI kutoka kwenye Google Play hadi katika simu yako na kisha itakupa maelekezo ya namna ya kuiseti na kifaa cha kilektrokini chochote kile kinachotumia rimoti na hivyo kutatua maswahibu yako.
Okhakuna kitu kama icho
Unacopy na kupaste makala bila kufanya utafiti kuwa hilo jambo linawezekana au laItumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV
Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho rimoti?
Kuna aina nyingi sana za TV, AC au DVR kwenye matumizi yetu ya kila siku ambayo hutumia rimoti. Mara nyingi imekuwa vigumu sana kupata rimoti nyingine ya kifaa chako pale kile cha awali kinapopotea au kuharibika.
Kutokana na uvumbuzi zaidi, sasa unaweza kuitumia simu yako ya Android kutatua janga hili pale linapokufika.
Unachotakiwa kufanya ni kupakua App ya IR Universal Remote + WIFI kutoka kwenye Google Play hadi katika simu yako na kisha itakupa maelekezo ya namna ya kuiseti na kifaa cha kilektrokini chochote kile kinachotumia rimoti na hivyo kutatua maswahibu yako.
Sio kila simu. Ni lazima iwe simu yenye IR blaster ndio itakubali.Itumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV
Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho rimoti?
Kuna aina nyingi sana za TV, AC au DVR kwenye matumizi yetu ya kila siku ambayo hutumia rimoti. Mara nyingi imekuwa vigumu sana kupata rimoti nyingine ya kifaa chako pale kile cha awali kinapopotea au kuharibika.
Kutokana na uvumbuzi zaidi, sasa unaweza kuitumia simu yako ya Android kutatua janga hili pale linapokufika.
Unachotakiwa kufanya ni kupakua App ya IR Universal Remote + WIFI kutoka kwenye Google Play hadi katika simu yako na kisha itakupa maelekezo ya namna ya kuiseti na kifaa cha kilektrokini chochote kile kinachotumia rimoti na hivyo kutatua maswahibu yako.
Wakati wa kutumia hiyo remote ni lazima simu iwe imewashwa data na iwe na bando?Download app halafu useme umekwama wapi nikuelekeza