L lil ifect Member Joined Jul 11, 2013 Posts 8 Reaction score 1 Mar 2, 2014 #1 Wakuu naombeni msaada wenu jinsi ya kutumia internet bure simu yangu tecno
baracuda JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 1,266 Reaction score 1,357 Mar 5, 2014 #3 subiri saa sita usiku airtel ni bure mpaka 12 asubuhi.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 443 Mar 5, 2014 #4 Kwa sh 500 unapata zaidi ya mb 100 na kwa matumizi ya ku-browse tu kwenye simu zinatosha na kubaki. Kama unataka ku-download tumia wajanja night offer ya vodacom kwa sh 500 unapata GB 1 saa 4 usiku hadi saa 12 asubuhi. Usipende sana bure
Kwa sh 500 unapata zaidi ya mb 100 na kwa matumizi ya ku-browse tu kwenye simu zinatosha na kubaki. Kama unataka ku-download tumia wajanja night offer ya vodacom kwa sh 500 unapata GB 1 saa 4 usiku hadi saa 12 asubuhi. Usipende sana bure
G Gochavez Senior Member Joined Apr 30, 2013 Posts 171 Reaction score 155 Mar 5, 2014 #5 Hahahahaha nimeyapenda haya majibu
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Mar 7, 2014 #6 Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000,
Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000,
manking JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 1,306 Reaction score 316 Mar 9, 2014 #8 Umewezaje kununua simu ushindwe kununua vocha?
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Mar 10, 2014 #9 DullyJr said: Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000, Click to expand... Akijiunga, ebu niangushie hata jero mkuu.
DullyJr said: Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000, Click to expand... Akijiunga, ebu niangushie hata jero mkuu.
delusions JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 5,001 Reaction score 1,291 Mar 10, 2014 #10 Nenda zantel ni wakarimu sana watakuwekea ya bure
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Mar 10, 2014 #11 hakuna package ya bure ..mkuu labda urekebishe kauli kwa kusema internet ya bei nafuu badala ya internet ya bure
hakuna package ya bure ..mkuu labda urekebishe kauli kwa kusema internet ya bei nafuu badala ya internet ya bure
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Mar 10, 2014 #12 Njoo na Elfu kumi nikuunganishe Nicheki PM Utatumia mwezi mzima bure kabisa
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Mar 11, 2014 #13 vya bure gharama
K kill JF-Expert Member Joined May 21, 2013 Posts 1,829 Reaction score 237 Mar 11, 2014 #14 unapenda vya bure nenda mombasa
anjnr JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 539 Reaction score 208 Mar 11, 2014 #15 Jf bana, stress zote za kutwa ya leo kwisha kwa kusoma comments za watu kwenye uzi huu! Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Jf bana, stress zote za kutwa ya leo kwisha kwa kusoma comments za watu kwenye uzi huu! Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
A Angelo007 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,846 Reaction score 1,365 Mar 11, 2014 #16 DullyJr said: Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000, Click to expand... Ha ha ha ha kuamisha salio tena
DullyJr said: Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000, Click to expand... Ha ha ha ha kuamisha salio tena
L Lusa Nise JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 305 Reaction score 176 Mar 11, 2014 #17 DullyJr said: Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000, Click to expand... Duh! bure halafu tena simu iwe na salio lisilopungua 5000. Hii chiboko.
DullyJr said: Yah!kama tigo wana huduma yao ya bure mwaka mzima. Piga *101*0713089189*5000# ila lazima cm iwe na salio liclopungua 5000, Click to expand... Duh! bure halafu tena simu iwe na salio lisilopungua 5000. Hii chiboko.
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Mar 11, 2014 #18 Lusa Nise said: Duh! bure halafu tena simu iwe na salio lisilopungua 5000. Hii chiboko. Click to expand... hahaha si ndiyo bure yenyewe
Lusa Nise said: Duh! bure halafu tena simu iwe na salio lisilopungua 5000. Hii chiboko. Click to expand... hahaha si ndiyo bure yenyewe