Wadau wa mac osx, IDM inapiga kazi kwenye mac kama kawaida, uachotakiwa kufanya ni ku-install crossover kupitia hii app utaweza ku-install baadhi ya windows apps kwenye osx yako na zika run poa, nilijaribu idm ipo inafanya poa, ila utakuwa uki copy links kwenye idm manually ili u download, kwa sababu haiwezi kuwa intergrated na osx native browsers.
crossover inapatikana kwenye torrent sites.
Nimeikubali mkuu, nime download file,nikafungua kupitia idm file browser ya crossover ikafunguka hamna jinsi ya ku access, downloads folder kama kwenye windows?
Nimeikubali mkuu, nime download file,nikafungua kupitia idm file browser ya crossover ikafunguka hamna jinsi ya ku access, downloads folder kama kwenye windows?