Stefano Mtangoo,
Sina tatizo na program ya kawaida ku-access Database, shida ni Webservice Programm ku-access na Database kwa kutumia GlassFish Server.
May be unisaidie kama kuna kitu cha ziada kinachotakiwa unapotumia webservice kuconect database pengine mimi nime-complecate tu.
Lengo lako ni nini? Inawezekana kukawa na njia rahisi!
How did you program (No not codes) hiyo Web service? Note Hakuna anayeona kwenye PC yako so maelezo yawe yanajitoshelezaNimetengeneza Java Application (SOAP Webservice) ambayo nataka ku-ideploy kwenye GlassFish Server, Aplication yangu inafanya kazi ya kuprocess data kutoka na kwenda kwenye DataBase.
Hapa napo maelezo yanahitajika. Inafanya kazi vyema then few words later inashindwa kufanya kazi. Ina maana una server mbili tofauti au?Aplication nimeitengeneza vizuri na inafanya kazi parfect, lakini ninapo iweka kwenye server inashindwa ku-access database. Nishauri njia nyepesi ya kukamilisha hili zoezi
package com.msamiati.DemoClass;
public class WebService {
private int data;
public static void main(Args[]Strings){
//Main class
}
public int getTotal(int amount){
//getCurrentRate ni function inayoreturn int kutoka kwenye Database
this.data=amount*getCurrentRate();
return data;
}
}
getTotal(25000);