H Hinfay Member Joined Jan 13, 2012 Posts 33 Reaction score 6 Oct 30, 2012 #1 Habari zenu,naomba mnisaidie kwa kuniambia ni jinsi gani naweza nikafix sehemu ya kusomea sim card ya Samsung Galaxy s3 kwani kuna pini zimechomoka au mnaweza kuniambia ni wapi wanatengeneza.
Habari zenu,naomba mnisaidie kwa kuniambia ni jinsi gani naweza nikafix sehemu ya kusomea sim card ya Samsung Galaxy s3 kwani kuna pini zimechomoka au mnaweza kuniambia ni wapi wanatengeneza.
C conta Member Joined Oct 29, 2012 Posts 46 Reaction score 13 Oct 30, 2012 #2 Peleka kwa mafundi simu mjini will sort it out within minutes, but lazima uwe mwangalifu sana na battery yako otherwise lazima wakubadilishie na famba
Peleka kwa mafundi simu mjini will sort it out within minutes, but lazima uwe mwangalifu sana na battery yako otherwise lazima wakubadilishie na famba