Jinsi ya kutengeneza game

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,710
Reaction score
10,236
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tz
Wakuu naomben msaada kitu kimoja,Ni hivi mimi napenda niweze kutengeneza game la kwenye simu ila shida ni kuwa sijui coding wala nini, ko naomba mnaojua nipen steps za ni nin nijifunze na kama mnajua website nzuri nitashukuru zaidi
Kwa sasa nataka kutengeneza simple games tu kama hili hapo chini
View attachment 2299788

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 

Kasome language ya C# na unity , wewe search tu youtube kule utaona namna yakutengeneza sio rahisi kama wewe unavyocheza hapo .

Unachukua muda mrefu.

Wewe Tafuta tu kwenye mtandao C# utapata material yote ukimaliza tafuta na material ya unity,

Ukimaliza kusoma hivyo vitu utaweza kutengeneza game,sio rahisi lakini.
 
Shukran mkuu ngoja nipambane

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…