Oh shukrani kwa darasa mkuuNi aina ya vyakula vya asili vinavyo patikana hasa kanda ya ziwa kwenye jamii ya wasukuma. Ni matokeo ya viazi vitamu vilivyo katwa vipande kama chips hivi na kuanikwa juani Kisha kupikwa
Asante kwa wazo japo wengine hutumia hivyo hivyoWapishi wenzako huhitimisha kila pishi kwa pendekezo la," Chakula hiki kinafaa kuliwa (pamoja) na matunda,wali,ugali,maziwa,juisi,chai etc)
Hayo madude bila kimiminika cha kuyapa escort pembeni sijui kama yatakwea.
Sasa happy unakula mboga au viazi vitamu?Ni aina ya vyakula vya asili vinavyo patikana hasa kanda ya ziwa kwenye jamii ya wasukuma. Ni matokeo ya viazi vitamu vilivyo katwa vipande kama chips hivi na kuanikwa juani Kisha kupikwa
๐๐๐๐๐๐Tuvipande twa viazi tukavu.Michembe ni nini mkuu?