Jinsi ya kupika mayai aina tofauti

Mmmh! Najua kupika chai tu na maziwa!!!
...
Mngenipikia tu mabeste zangu!
Kama unaweza kuchemsha maziwa hushindwi kupika haya mayai maana maziwa yanahitaji ubunifu na timing,ukiweka moto mwingi umeyaunguza,usipojua timing yatamwagika yakianza kupanda kuchemka..Besides u can never make a mistake while making scrambled eggs,mayai yenyewe yashavurugika...sijui kuna mtu aliyapika akayaharibu ndo yakapewa jina "SCRAMBLED"....
 
Omlette...yummy
Omlette is really nice mpenzi...tena you can add your own personal touches to it and be as creative as you wish mfano una kiporo cha nyama ya kima unaweza pia uchanganye na mayai....🙂
 

ningependelea hilo sunny side,mbali wapi nje ya nchi?
 
Mayai ni mazuri ila nikifikiria haya mayai yetu ya plastic hamu inaniishia.

kweli kabisa ukitaka kujaribu ebu pasua moja liache kidogo kama dkk 6 hivi utaona kinachotokea unaweza usile tena hayo mayai.
 

aiseee,kuna mahanjumati humu???asante mimi49 ntajaribu kupika,,,
 
Last edited by a moderator:
Heheheeeeee,nyama ya kima a BIG NOOO

Omlette is really nice mpenzi...tena you can add your own personal touches to it and be as creative as you wish mfano una kiporo cha nyama ya kima unaweza pia uchanganye na mayai....🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…