Jinsi ya kupenda kwa vitendo

Nyumba ikiwa na furaha na Upendo wa kweli stress nyingine zinapungua pesa sio kila kitu
 
yaani inahusu saana hiii

Mwanaume usiwe kama mangi akikurupuka tuu usingizini anakuuliza kuhusu biashara...




 
Kabisaaa...hata asira ikikujia kuhusu mumeo...ukikumbuka upendo wake unaona mmmhh hapa akiniacha sitoupata upendo kama huu nje...bora niwe mpole



Nyumba ikiwa na furaha na Upendo wa kweli stress nyingine zinapungua pesa sio kila kitu
 
hapo namba moja inabidi nianze aisee sijamkumbatia mda mrefu sana toka enzi zile za kuiba, sasa naanza kwa kasi, Ahsante mleta uzi ubalikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…