Ndiyo ukute kupakua hiyo app, kucopy na kushare links kwa watu unatumia MBs 250 ambayo kwa thamani ni sawa na Tsh 1,000.
Baadae unakuja kupewa points ambazo ukiziconvert kuwa salio unapewa Tsh 150.
Hapo hatujaweka muda uliotumia na kiwango cha ushawishi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].