Iphone 4 massai inatengenezwa na apple bwana chini ya ulinzi wa Mzee Steve jobs siyo billgate yeye alisha staafu mambo ya technology sikuizi anaangalia kwa mbali tuuu. jamaa hapo juu anaomba jinsi ya kufungua accaunt kupata aplication za hii iphone. hii iphone ni mchezo mwingine siyo kama nokia lazima ujiandikishe kwa apple computers kufurahia kasimu. uzuri wake ukijiandikisha mtu akikuibia kasimu unaweza ukamtafuta na gps trac ya simu na ukampatahiyo simu ndugu yangu,ni zaidi ya simu!! rudi uliko inunua wakupe kadi yake,full manual book,inasehemu yakujaza alafu wanairudisha,wanaituma kwenye kampuni ya billgate,ukipata mtumiaji mzuri wa hiyo simu akiweka password yake hata uende wapi hutokaa ui unlock,tena chukua tahadhari mapema kama umeipata kimjini mjini unaweza kuwa wanakutrack,inamambo mengi sana hiyo kitu.cheki manual book yake vizuri ukikosa google,maswali yakiwa mengi sanuka.
hapo unatakiwa utengeneze a free itunes account,,angalia hapa instructions (Create Free iTunes Account without Credit Card | The Apple Daily) itakuwezesha kudownload free applications from Itunes..vile vile kama Iphone yako ipo jailbroken and unlocked unaweza ku Install program inayoitwa 'installous' kupitia Cydia iliyopo kwenye menu yako..Installous itakuwezesha kuDownload and Install cracked applications, games, books, utility programs na vitu vingi Bure,,,:israel::israel: