Jinsi ya kupata Mwanamke

Ningekuona wa maana sana kama ungefanya hichi nilichopaste hapa kwa vitendo

Usipoteze muda wako kuvumilia upuuzi wa mtoto wa kike. Muda huo ungeweza kuutumia kujenga biashara yako, au kuongeza ujuzi katika fani mbalimbali, au kuboresha afya yako. Maisha ni mafupi na kila mtu atakufa.
 


Apa ndo najua kweli watu tumetoka kwenye familia tofauti.... Aya twende tuonee

[URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=167815"]
idaz
az[/URL]
"Kweli Mungu kaumba binadamu tofauti saaana,yaani watu wanapambana na ukimwi,mimba zisizotarajiwa,seriously jamaa anakuja kukupa mbinu,tena researched...ni sawa na mtu anayekupa mbinu za kuongeza uzito wakati dunia nzima watu wanataka kupungua uzito!''
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…