Jinsi ya kupata Mwanamke

sisi haturuhusiwi eee bas sawa jion njema
 
na kwa kuongezea badala ya kutongoza mmoja kwa siku tongoza atleast watatu,kwa wiki utakua umetongoza wasiopungua 20, katika hao 20 lazima upate ht watatu au wa 4, kwa stail hyo mapenz hayatakusumbua wala kukuumiza, hehe
 
Mungu akubarikia aceroty,ndoa yangu ni mzigo na sija-date muda mrefu,asante sana.
 
Nafikili mapenzi ni shule na mwalimu alishakufa. Tunafundishana wenyewe pasipo kuwa na fomula ya kusoma wachache wanafanikiwa na kufaulu huu mtihani mtunzi ni maisha yenu....:banghead:
 
duh mwanangu we kama vile uko kichwani mwangu,,,,bbravo,bravo,bravooo
 
vitundu ndio utamu wenyewe ... ila tafuta hela
mbwa hupata utamu bila hela,maskini vivyo hivyo,faida ya tundu ni pamoja na tundu kuleta mtoto,si tundu kuleta maradhi ,umaskini laana(hasa lile tundu la kutolea :A S wink:upepo) etc
 
duh mwanangu we kama vile uko kichwani mwangu,,,,bbravo,bravo,bravooo

Inaonekana wana wengi wana matatizo na kuwaelewa watoto wa kike . Na wengi wao hawapati ushauri utakaowasadia,au kama wakiupata hawaufuati. Ndio maana kila kukicha utaona post ya mtu analalamika jinsi demu wake alivyomtenda,au mvuto umepungua kwake... Unakuta mwana badala aendele na maisha yake, anaisha kuumiza kichwa chake kwanini chupi fulani haimtaki...
 
Post hii ni kwa ajili ya wanaume tu. Wanawake hamkaribishwi.
.
Nimekuelewa ila nimekuja kwa niaba ya mme wangu....

mitongozo achia watoto wa primary
ooh nimekuzimia nna passion kwako, siwezi kuishi bila wewe bla bla za kitoto kitoto
mi na utu uzima huu uniite mahali uninunulie fanta eti uanze kunitongoza
hivi unaniambia nini hasa?
 
mbwa hupata utamu bila hela,maskini vivyo hivyo,faida ya tundu ni pamoja na tundu kuleta mtoto,si tundu kuleta maradhi ,umaskini laana(hasa lile tundu la kutolea :A S wink:upepo) etc

Duh aya tutafute hela
 
wewe ndio uzima wa maisha yangu, ni kama maji na maua. Naamini Mungu alikuumba kwa ajili yangu, na yangu peke yangu. nikubalie usinikatili kwakusema hapana...(kwa sauti tamu, ya kubembeleza kama nalia vile)
 
hakuna tena SHOPRITE TZ linakuja soko jingine NAKUMATiiii
 
wewe ndio uzima wa maisha yangu, ni kama maji na maua. Naamini Mungu alikuumba kwa ajili yangu, na yangu peke yangu. nikubalie usinikatili kwakusema hapana...(kwa sauti tamu, ya kubembeleza kama nalia vile)
Teh ntakupa jibu moja tu "takko lako"
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…