Msaada jinsi ya kuondoa white dot kwenye tecno wx3.
Nimejaribu njia kadhaa sijafanikiwa.
Mfano njia ya kuingia setting >apps>assistive touch ila sijafanikiwa , pia njia ya kuingia developer options na kuweka off pale kwenye show pointer ila sijafanikiwa.