Jinsi ya kukaa kwenye computer

asante kwa somo wengine wanainamia mpaka pua inagusa screen
 
Kiukweli nisomo Zuri sana ahsante mkuu
 
Aisee!! kumbe huwa nakaa vibaya sana. Ndio maana naumwa mgongooo
 
Vipi jinsi ya kukaa kwenye Android?

heeeee!!!! kukaa kwenye android??? au mi ndio mshamba!! siku hizi kuna kifaa kinaitwa hivyo?? unajua tena c wazee wa bush, labda vijana wa born here, here,mkuje mtusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…