Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,695
2,553
Saluti wakuu, najua katika wengi hapaharibiki neno. Nawasilisha kwenu matatizo ya mpenzi wangu ana alama katika ngozi ambazo kama vile mtu alikuwa mnene na sasa amepungua na ngozi inabaki na michirizi.

Kwa mtaalam wa masuala ya ngozi hususani za wanawake basi asisite kutupatia elimu, kuna matatizo mengine ukisema yanakuwa mepesi.

Nawasilisha wakuu.

- Swali la pili kutoka kwa gracious86

gracious86 wapenzi wadau,naombeni mnijulishe ni dawa gani nzuri inayotoa 'strech mark' alama za tumboni zinazobaki baada ya kujifungua! Jamani zinakera mno!

Kuna watu wanasema eti huwa zinatoka zenyewe naturally! Sasa kama ni kweli,zinachukua muda gani baada ya uzazi! Coz for me,its almost a month and some days since nimejifungua,and the marks,are still there! Help.

PIA SOMA

- Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

======= Majibu =======

Bio-oil and patience will do the trick japo wakati mwingine nature ina jeuri!

======

Improving the appearance of stretch marks
Bio-Oil is highly effective in helping to improve the appearance of existing stretch marks. Bio-Oil helps to increase the elasticity of the skin, thereby the possibility of new stretch marks forming is reduced.

Application

Bio-Oil should be massaged in a circular motion into the stretch marks and surrounding skin, twice daily, for a minimum of 3 months.

What is a stretch mark and how is it formed?
Stretch marks, otherwise known as striae, are caused by exactly what their name suggests – stretching of the skin.

By expanding and contracting, the skin's connective tissue allows it to adapt to continuous movement of the body; but sometimes the skin has insufficient time to adjust. When the body expands faster than the covering skin, the skin tears and forms an internal wound; this then forms a scar as it heals. These scars are visible on the surface of the skin as stretch marks.

The likelihood of developing stretch marks varies according to skin type, race, age, diet and hydration of the skin.

Those most prone to stretch marks include pregnant women, body builders, adolescents undergoing sudden growth spurts, and individuals that experience rapid weight gain.

Stretch marks are permanent in nature, and although Bio-Oil is specifically formulated to help improve their appearance, it will never remove them entirely.
 
Ntashukuru pia nami nikiweza kupata msaada katika hili. Nkamangi nini maana ya Bio-oil sijakupata mkuu. Nifafanulie tafadhali niwezekuelewa.

==========

Bio Oil - Uses

Improving the appearance of stretch marks
Bio-Oil is highly effective in helping to improve the appearance of existing stretch marks. Bio-Oil helps to increase the elasticity of the skin, thereby the possibility of new stretch marks forming is reduced.

Application

Bio-Oil should be massaged in a circular motion into the stretch marks and surrounding skin, twice daily, for a minimum of 3 months.

What is a stretch mark and how is it formed?
Stretch marks, otherwise known as striae, are caused by exactly what their name suggests – stretching of the skin.

By expanding and contracting, the skin's connective tissue allows it to adapt to continuous movement of the body; but sometimes the skin has insufficient time to adjust. When the body expands faster than the covering skin, the skin tears and forms an internal wound; this then forms a scar as it heals. These scars are visible on the surface of the skin as stretch marks.

The likelihood of developing stretch marks varies according to skin type, race, age, diet and hydration of the skin.

Those most prone to stretch marks include pregnant women, body builders, adolescents undergoing sudden growth spurts, and individuals that experience rapid weight gain.

Stretch marks are permanent in nature, and although Bio-Oil is specifically formulated to help improve their appearance, it will never remove them entirely.
 
Yap!!! kaka,

Nakushauri huyo demu wako atumie Bio-Oil, mimi wa kwangu ametumia na sasa yupo bomba.
 
Asante sana kwa elimu nzuri. Sasa nikienda dukani (cosmetic shops) niulizie Bio-Oil au kuna jina la kibiashara? Tafadhali nifafanulie. Thanks.
 
Nimewahi kusikia pia cocoa butter inasaidia sana kwenye hili.
 
Wana-jf kwanza niwatake radhi wale ambao wanaweza kuona kama nimewakwaza na hili jambo lakini kiukweli kabisa nasema kwa nia njema tu ukizingatia jf ni mahali pa kuzungumza mambo kwa uwazi.

Mi huwa nachanganyikiwa kabisa ninapomuona mwanamke au msichana ana ile mistari/michirizi kwenye miguu yake.Kuanzia sehemu za mapajani kwa nyuma ya miguu kwa kweli sijui nisemeje lakini ukweli ndio huo. Najua kila mwanaume huvutiwa na chake wengine makalio makubwa, wengine miguu ya chupa ya bia, wengine matiti makubwa au madogo, wengine lips nk.

Huenda hili hata kwa akina dada lipo kama ambavyo siku moja pretty alisema yeye hupenda mwanaume mwenye kifua kipana na wengine watasema wanasema wanapenda wanaume wenye vidole gumba virefu...........!!
 
Utakuwa unashabikia sana vimini wewe! Sasa kwa wavaa suruali na sketi ndefu utaonaje hiyo michilizi ndugu yangu? Nakumbuka hata mwana FA aligusia hiyo michilizi kwenye "mimi na mabinti damu damu, sijui ina nini hiyo!" Kuna michilizi mingine imekomaa mpaka inatisha, utayakuta makubwaaaa, meusiiii, mengine yameanzia mikononi, sjui unasemaje hapo Lalingeni, ndo unakufa kabisaaa au hayo huyamaind?
 
ahaaaaa, hiyo tunaitaga MICHIRIZI YA UTAMU!!
hiyo ORIJINO inapatikana nyuma ya goto ONLY, ukiona kifuani, mikononi au makalioni ujue hiyo nikutokana na EXPANSION ya mwili yaani mwili umenenepa then ukipungua kiaina ndio hayo mamichirizi ambayo hayana mvuto kabisa!.
 
Eeh bwana wewe unatoka kagera nini?? maana kule mwanamke/msichana mwenye mazimola ni dili sana
 
Eeh bwana wewe unatoka kagera nini?? maana kule mwanamke/msichana mwenye mazimola ni dili sana
 
Udhaifu mwingine huu...kazi kweli..nasikia wengine hupenda mabinti wanovaa viatu kuanzia saizi 9!!
 
mimi jamani mwanmke awe mrefu!!!!!!!!!!!!! baaaaasi. hata awe na sura mbaya kama zimwi, siangali!!!!!!!!

sasa akiwa mrefu halafu anataka kunimaliza kabisa kama emsiilema, aniachie yale manywele, asinyoe!! hapo hata myumba nitajenga!!!!!!!
 
Hahahahahah! Umenikumbusha stori zetu za vijiweni, kuna mtu aliwahi kusema...''Mimi mwanamke awe tu anajua kuongea Kiingredha kizuri, hata kama ana t'ako moja kubwa, moja dogo sitajali!.............!!!''
 
eh jamani kila mtu apendacho ndo dawa yake, mie nikiona mwanamume ambaye akivaa suruali inajikunyata hapa katikati ya miguu huwa naishiwa nguvu, hata aje na brifukesi ya manoti wala simtamani maana najihoji nitatoka nae vipi njiani!!! huwa nahisi hata vipumbu vyake vimesinyaa kwa kubanwa na suruali khaaa maumbile mengine mtihani wallah!
 
Hahahahahah! Umenikumbusha stori zetu za vijiweni, kuna mtu aliwahi kusema...''Mimi mwanamke awe tu anajua kuongea Kiingredha kizuri, hata kama ana t'ako moja kubwa, moja dogo sitajali!.............!!!''

no wonder unaishiliaga kwa vi sis du....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…