Jinsi ya kufungua pc.


Dah...!! kaazi kweli kweli yaani pc yako ilikuwa na window the ukaingiza windows ingine bila ya kuformat matokeo ndo hayo window 2 ktk pc 1.
Hebu jaribu hiyo ya juu ikigoma jaribu ya chini kama moja inapiga mzigo ikariri then ingia safe mode uifute inayosumbua!!
Kama hadi hapo hujanisoma wait nikuwekee maelekezo ya kina au peleka kwa wajuzi kitaani wakufanyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…