jinsi ya kufactory reset tecno p5

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Sim yangu inaishia kwenye maandshi ya tecno katika kuwaka then nimejaribu kurestor kwa kutumia power botton na volume down lakin yanakuja maneno y kichna(siyaelew) kwa anae elewa anijuze tafadhali,natanguliza shukran
 
Duuh hapo pagumu labda ungeweka picha watu wenye uelewa na Tecno p5 wangekwambia uchague option namba fulani....

Pia kumbuka kuna Tecno fake na kuna chipset zinatumia hazi support Hard reset sasa sijajua yako ni real phone au cloned one?
 
Nenda kwenye e MCC rejea picha ifuatayo
 
Attachments

  • 1420822960317.jpg
    10.9 KB · Views: 211

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…