kama mtu akiwa seriouss inawezekana, kucompose sms na kuandika scripts ktk sms service providers side na kuweza kuedit almost every field in the table.kabala ya kuforward hiyo sms bila system kuacha eveidenc za wazi.Mradi tuu anayefanya awe na admin access,na najaua table zote zinazotakiwa fanyiwa mabadiliko.Hapa labda wahusika wapitie system log ya operating system, ambayo nayo inategemea kama jamaa walifanya back up na kurestore data katika server tofauti within server farm.sms na emails ni files ambazo zina structure ya kama ya db na regardless ya transport format,somewhere someone with right resources can manipulate data in between.Mbaya sms si encripted wala hashed kuweza zuia watu wasizisome na kwa vile si hashed hata mtu aki intersect na kuibadili upande wa pili hauwezi jua kuwa kuna editin imetokea.
Pia mobile phone zina code kibao zinazoweza futa msg baada ya kuisoma ifikapo kwa muhusika, pia kuwa technology ya kuweza hijack simu ya mtu n akusimulate kila kitu remotely.Watu wanaweza mpigia mtu bila kuita wala vibrate na simu ikajipokea silently huku attacker akaweza sikiliza mazungumzo, access camera, copy things like contacts, appointments etc.
Hakuna sekurity inayojulika kuhusu haya, ndio maana kwa wataalamu hairuhusiwi kuingia na simu hata ukiizima katika vikao vya siri.Kwa mwenye nia anaweza iwasha simu kwani kuzima simu ni kama kuiweka katika kuiweka hybernation.Manufacturers wameweka code maalumu kwa mambo yote haya.Wengine wamejaribu kuzima na kutoa betri katika simu angalau kuwa sure kuwa simu zao hazipo hewani ,na hiii ipo hata kwa simu simpe na za bei rahisi ila kwa smart phones ndio kuna uwanja mkubwa sana. Kuna siri nyingi sana katika dunia ya espionage.Wenzetu wanajua kuwa someday maadui zao watatumia technologies zao kuwaangamiza,kwa hiyo wanaweka mazingira sahihai kwa in the future ndio maana hatuwezi kosa kusikia bugs na holes nyingi ni intentional.
NI ccm tuu ndio hawan amalengo ya muda mrefu, wanatengeneza mikataba na wawekezaji bila loophole ya kuuvunja,wakati wawekezaji wanaweka loopholes za kujilinda na kutengeneza hela za kutosha lipa mikopo yao yote na hela ya kutosha kwenda tengeneza maisha kwingine na ikibidi kurudi ten akwa njia ingine.
Kuna tools za kuintrude sime kupitis blootooth, install software za kusimulate keypad functions, na baadaya ku uninstall na kurelease resources. Smart person akiziangalia hizo sms bila hata kwenda kwa hao jamaa wa simu ambao hata mahakama zetu zikiwapa amri watapeleka mahakami kitu wakipendacho na walicho edit, na hata wakiruhusu mtaalamu wa nje aje kuna uwezekano akawa hafahau hizo system zao, au hata wakalindwa n amahakama kwa vurugu kama za makinda na bunge.Nadhani CDM wanaweza wabana Akina migulu mahakamani kuwa eveidence za SMS si authentic enough, na kuta counter examples zinazoweza thibitishwa na mahakama.Kwani duniani kote kuna nchi kibao haziamini sana ushahidi wa Video au hata sauti.Bila kuwepo na report ya kitaalamu kuthibitisha kuwa haijaforgiwa