Jinsi ya kubadili ROM (android version)

Hizi makala zingine ni pasua vichwaa asee

Nimeanza na ya ku root, simu yangu mpaka leo siielewi nimeiroot au la, kwani nilipo fuata proceedure nilipomaliza nilitumia root checker nikaambiwa haijawa rooted, cha kushangaza app ambazo sizitumii naweza kuzifuta, lakini kuweka program za simu iliyo be rooted havifanyi kazi

Sasa hii nayo imekuja, mkuuu msaada kwani hata kile ki applicatio cha king root hakifutiki tena

Nakuomba unisaidie namna ta kufamya ili nifanikiwe mkuu
Simu yangu ni
HUAWEIG615-U10

Onavitabia vya ajabu ajabu sana
Hasa linapokuja suala la application utashangaa no enough space


Nakereka sema basi tuuu
 
Fungua app y kingroot then ntumie screen shot
 
Asante sanaaaà
 
Duh mkuu mweny tecno y4 nadhan developed bado awajatoa cmw y cm yako
 
 
Mkuu sana alban makoa nakushukuru kwa mada zako nzuri unazotuwekea hapa jamvini hasa ile ya ku-root hizi simu janja,mie simu yangu nimefanikiwa kuiroot ila ktk hili zoezi naona ni gumu naomba nitakutafuta nimechukua namba yako nitakutafuta kwa msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…