Jinsi ya kubabili mfumo wa data kwe simu

Mimi Fulani

Senior Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
180
Reaction score
125
Naomba msaada, nina simu aina ya yxtel g928 ina os ya android v4.1 sasa simu yangu ina mfumo wa EDGE nataka iwe GPS simu yenyewa ni chinese product.

Ahsante
 
kaka unajua gps ni nini? au ulimaanisha 3g

Niliingia play store kudownload fb sasa kwenye maelezo yao wakasema fb inatinga vizuri kwenye mfumo wa GPS au GPRS na kweli kwenye simu yangu haitingi vizuri
 
Naomba msaada, nina simu aina ya yxtel g928 ina os ya android v4.1 sasa simu yangu ina mfumo wa EDGE nataka iwe GPS simu yenyewa ni chinese product.

Ahsante

GPS? Utakuwa una maanisha kitu kingine
 
Niliingia play store kudownload fb sasa kwenye maelezo yao wakasema fb inatinga vizuri kwenye mfumo wa GPS au GPRS na kweli kwenye simu yangu haitingi vizuri

GPS maana yake ni Global Positioning System inhusika na kujua coordinate za eneo fulani au kukuonesha wewe uko wapi ktk ramani. GPRS inahusika na mambo ya network ya internet ktk simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…