Sass mkuu unlock hiyo ipi, ya sim network au ya laini zote mkuuu, plz fafanua kidogo tupate mwangaza
Hizo imei kuziweka hadharani siyo vizuriChiwaso
Mtaalamu nisaidie hii kamanda..
MODEL: V300-2AVDTZ1
IMEI:
356774071674717
OTHER:
FCC ID:2ACCJH053
VFD 300
Amekurupuka kuanzisha threadChiwaso mwenyewe baada ya kuona maswali magumu kala chocho.
JF kuna ma GT,ukiona unataka kuanzisha thread, hakikisha unakifikiria mara mbilmbili unachotaka kukizungumzia.Amekurupuka kuanzisha thread
sawa ila nilihtaji kuiunlock maana dogo ananisumbua sana.Hizo imei kuziweka hadharani siyo vizuri
Kama kweli atakusaidia hizo imei ungeli mtumia kwa private message (pm) ziondoe tafadhali kwa usalama wa simu yakosawa ila nilihtaji kuiunlock maana dogo ananisumbua sana.