Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 369
Habari wadau
nimetumiwa iPhone 5 toka UK,sasa nimejaribu kutumia line ya tigo Simi inaniambia hiyo line ni invalid,Nafanyeje ili niweze kutumia hii Simu kwa mtandao Wa hapa tz?

[URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/URL]
- Ni rahisi kuifanyia unlocking kwa kutumia NCK unlock codes zitokanazo na IMEI namba ya simu yako.
- Hii haihitaji kwenda kwa fundi.
- Fuata hii link hapa ina maelekezo ya nini cha kufanya ili kuweza pata NCK unlock codes.
Code:[URL]https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/515251-huduma-unlocking-phone-by-imei-number.html[/URL]- Karibu.

ahsante mkuu nadhani hata mi ntanufaika kwa ujuzi wako maana nimeagiza iphone 4s kutoka hukohuko UK hope itakuwa kama ya mtoa mada(locked)
Hii imetoka nje ya nchi kaka