Jinsi ya ku-secure switch yako ya cisco


Ubarikiwe mkuu
 
asante sana mkuu kwa somo unapatikana wapi nataka unimezeshe na mimi hizo sumu
 
hujatufundisha,bali umetupa tahadhari na tiba yake maana wengine kuelewa hayo mambo mbinde ,sarakasi zake hatuziwezi ila tutawatafuta wenzako mnaosema lugha moja ambao tuko nao karibu na tunawaamini watufanyie hizo sarakasi kwa mujibu wa maagizo yako ,phew! uzee mbaya!sante young master!
 

Ha ha haaa!!! Karibu mkuu.
 
Ubalikiwe Na mimi Nakuja Kusomea Hayo ma vitu still niko A-level Hope nitaweza! :amen:
 
Umeelezea vizuri, kwa watu wa Networking tumekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…