Na wakat mwingine inasema no network acessTumia njia ya ku-root kwa apps za simu tuu kama Kingroot...
Hiyo njia ya kutumia Computer itakuzinguzia...
Rudia kusoma Yale maelezo ya mleta mada ( tumia njia isiyo ya computer)
Angalia settings zako xa netwek,Na wakat mwingine inasema no network acess
Natumia wireless kAKA na bado inaznguaAngalia settings zako xa netwek,
Hiyo ni netwerk inconveniences tuu...simu haina tatizo
Check na mtandao.. then retry itakubali tuNdio natumia kingroot ila inaenda badae inaniambia root failed
Rudia mara nyingi uwezavyo na mimi ilikuwa hivyoNdio natumia kingroot ila inaenda badae inaniambia root failed
Pole mkuu..!Natumia wireless kAKA na bado inazngua
Kabisa halotel nilifanikisha baada ya airtel kushindwa tena dakika 4 tuPole mkuu..!
Jaribu tena tena! Ila this time nashauri ubadili network provider
Kama ulikuwa unatumia voda....hebu jaribu Halotel
Mkuu ndo unataka msaada upi sasa?Nataka ku root simu yangu ni HTC one msaada.
hyo kingRoot inayo takiwa n ipi mana nimechek nmekuta nyingi??Mkuu ndo unataka msaada upi sasa?
Yenye rate nyingihyo kingRoot inayo takiwa n ipi mana nimechek nmekuta nyingi??