Jaribu kutafuta namba ya cm ya huyu jamaa pengine anaweza kukupa majibu maana hapa kaongelea Adroid pekee. Lakn pia ingia google andika App to root samsung pengne unaweza pata majibu.
Mimi nimefuata procedure zote lakini inagoma baada ya kufikia hatua ya mwisho ambapo ina install na ikifika 90% inaniambia ROOT FAILED kama moja wapo ya screen shots zinavyoonekana kwenye thread ya Athanas0011 na simu yangu ni Itel 1503.