Habari wakuu nmepewa aina hiyo ya simu na ndugu yangu anaeishi nje ya nchi lakini kila nkitaka ku reset inaniandkia cannot connect to the iCloud wakati passcode na passwords zote nnazo.

Itabidi urestore kwa kutumia itune kwenye computer yako lakini uwe na uhakika na icloud na password yake unazo kwasababu wakati inawaka uatatakiwa kuconfirm. guud luck