ushauri mzuri mpendwa lakini inaniuma ni kama ntakuwanilipoteza muda na pesa nilizotumia kusomea a level nje afu kinachouma zaidi nilijitahidi nisirudie makosa ya o level na nimefaulu na nimebadili matokeo necta kwa a level suala la principle pass halina shida ila o level