Amani Ndoroma Member Joined Aug 14, 2018 Posts 71 Reaction score 22 Sep 27, 2018 #1 Habari ya asubuhi wakuu,, naomba Msaada Wa Ku upload cheti tena kweny tovouti ya mkopo .... Najaribu kufanya hivyo inasema file already being existed...
Habari ya asubuhi wakuu,, naomba Msaada Wa Ku upload cheti tena kweny tovouti ya mkopo .... Najaribu kufanya hivyo inasema file already being existed...
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 11,788 Reaction score 15,406 Sep 27, 2018 #2 Scan. au toa copy. hicho cheti kisha. nenda kwenye missing document namba tatu kisha click then. apload hicho cheti. kidha submit.
Scan. au toa copy. hicho cheti kisha. nenda kwenye missing document namba tatu kisha click then. apload hicho cheti. kidha submit.