Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

Mkuu hebu elezea vizuri ilikuaje ukaibiwa?
 
Duh pole sana mkuuu
 
CONTROLA njoo utoe neno.
Huwezi amini leo TAR 13/8/2020 ndio nimeona huu uzi

Hii tag yako sikuipata ni leo wakati napita nasoma page kwa page

ndio nakuta naona kumbe ulisha ni tag nije,asee JF ina thread nyingi sana

sijui kama nina neno jipya kwa huyu mtu zaidi ya kumpongeza kwa uthubutu wake

kama ingetokea nimechangia mapema huu uzi,nisingetoa comment ikatofautiana sana

na comment #5 ya mr troublemaker maana ndio uhalisia wa mafanikio ya huyu mtafutaji mwenzangu.
 
Very gud. Nikikumbuka nilivyopata hasara ya 42M ndani ya miaka miwili tu na nikawa kama ndo naanza maisha upya alafu leo unaniambia 1M umeizalisha 10M najiona fala tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila biz ina Risk mkuu ..mimi ninepoteza zaidi ya iyo, ila nimerudisha mara mbili yake ..ni kutake Risk tu komaa ..safari bado ndefu sana..
 
Hongera sana mkuu nimekuelewa vizuri ngoja nijipange,naimani sijachelewa
 
Wewe umeitendea haki nchi maana umetengeneza ajira na kuongeza kodi za serikali. Kuna baadhi ya watu wanasubiri kuiona nchi iwafanyie nini badala ya wao kuifanyia nchi.
 
Una bahati sana na ninafikiri huyo mfanyakazi ni ndugu yako au mtu wako wa karibu pia mcha Mungu. Kwa mtaji huo mkubwa kiasi hicho wala isingekuchukua zaidi ya miezi mitatu kabla ya kufunga biashara.
Amheshimu sana mfanyakazi wake ni wachache wa namna hiyo, ikiwezekana amuongezee mshahara maradufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…