Jinsi nilivyo na mtazamo wangu!

mmmh hakunaga
watu wabinafsi kweli wapo buusy na maisha yao
 
View attachment 66827
huu ndiyo ukweli katika kutafuta mtu wakuwa na mahusiano!!

Wengi wanatamani hivi, lakini changamoto na ugumu wa maisha plus harakati za kupambana na maisha huufanya muda huo kuendelea kuwa finyu siku hadi siku ...
Inafikia kipindi wenye mahusiano wanatakiwa ku-trade off kati ya kusaka maisha kwa kasi zaidi au kuwa na muda wa kutosha kuburudishana na mpenzi ...
 
Itabidi awe maskini, maskini siku zote huwa na muda wa kutosha.
 
Dah ni ngumu kwa kweli...ingawa kila mtu anataman hivyo bt hali ngumu ya maisha hairuhusu!!
 
Ni ngumu sana kutokana na LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!
 
Labda Ipad, tablets, Laptops na modemu zote zife maana hao ndio wame-replace nafasi ya Mapenzi nadni ya nyumba tangu arudi home ni simu na tablet na Laptop, kama modemu haina pesa lazima ikatafutwe credit
View attachment 66827
huu ndiyo ukweli katika kutafuta mtu wakuwa na mahusiano!!
 
kwa Chiswahili chetu as far as I remember the concept ni kwamba; hamu ya kuwa na kitu fulani hupungua kwa kadiri unavyoendelea kukipata. sasa mdau iunganishe na agenda iliyopo mezani

thanks
there is something about you
something that raises curiosity....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…