Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Madalali kuwa by pass inahitajika nguvu ya ziada. At least mchele unaweza kuvumilia, je ikiwa perishable goods kama nyanya itakuwaje? Na hata huo mchele unaweza kuvumilia ukaishia kuingia gharama zaidi kwa ajili ya ghari. Na wanunuzi wameshajizoesha kununua kwa dalali. Kuwaondoa madalali yajitaji ubunifu wa hali ya juu. Huyo aliye nunua ka hela yake si dalali. Dalali hatoi hata senti yeye kazi yake kukulink na wanunuzi halisi halafu anapata cha juu.Jamaa mmoja alifika sokoni na mchele gunia 180 za kilo mia kila moja.
Akatokea dalali mmoja akaja kama mteja. Wakaanza kupatana bei mpaka ikafika 1700 kwa kilo bei ya jumla.
Dalali akalipa cash 1700x180x100 = 30.6m. Jamaa akachukua mkwanja akasepa.
Dalali akaunadi ule mchele kwa 1800 akapiga 1800x180x100 = 32.4m.
Hapa alinufaika kwa 1.8m.
Ushauri wangu. Kwa wanopeleka mizigo sokoni tuwe wavumilivu. Ukienda na pupa za kuwahi kuondoka utajikuta unauza bei ya hasara afu dalali anapiga ela ndefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio povu,kwanza ashukuru hamnaga DALALI anaye toa Pesa Cash. Wewe una fikiri bila madalali/middlemen Tungeuza nyumba,viwanja n.k.? Sema tuu kuna udhaifu wao ambao hauhepukiki/ inevitable,Alielima kapata loss dalali kapata ptofit afu povu linawatoka madalali mnatetea. Ipo siku yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app