Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,581
- 7,288
Alielima kapata loss dalali kapata ptofit afu povu linawatoka madalali mnatetea. Ipo siku yenu.Hujui Nini maana ya biashara...mbn kawaida sana Tena amerahisishiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha roho mbaya mkuuAlielima kapata loss dalali kapata ptofit afu povu linawatoka madalali mnatetea. Ipo siku yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuwa our core business ni trading ila hii ya madalali ambao wanajua wazi kuna mteja wa 1800 afu wao wanamlalia jamaa kwa 1700 ili hiyo 100 yote wapige wao badala ya kula 50/50 hatuwaungi mkono. Ni unyonyaji.
Unazungumzia 50/50 huku unaamindi Tsh 100 @kg...hauko serious...mpk amekubali kumuuzia kwa 1700 tayar kaona anapata faidaPamoja na kuwa our core business ni trading ila hii ya madalali ambao wanajua wazi kuna mteja wa 1800 afu wao wanamlalia jamaa kwa 1700 ili hiyo 100 yote wapige wao badala ya kula 50/50 hatuwaungi mkono. Ni unyonyaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamaa kapata loss ujueUnazungumzia 50/50 huku unaamindi Tsh 100 @kg...hauko serious...mpk amekubali kumuuzia kwa 1700 tayar kaona anapata faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye kazi kwa maslahi ya wateja wao ambao ni wauza mizigo. Waache kukatisha watu tamaa.
Sometimes you need to lose a battle so that you can win the warAcha watiririke. Ndio maana ya kuwa na jf. Debates are crucial. Point kubwa sikuitaja ni kwamba jamaa alilalamika kuwa mchele alopeleka ulimkata kwaiyo harudi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalali alikua nani?Dalali hakwepeki
Deal yoyote udalali lazima
Hata bombadier zilivyonunuliwa dalali Ali play part
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuuUdalali na Madalali ni kitu cha muhimu na lazima. Na mfanyabiashara aidha mnunuzi au muuzaji asiyejua umuhimu wa dalali umahiri wake ni wa mashaka.
Ila piga uwa garagaza kutokana na malalamiko ya wakulima wa baadhi ya mazao udalali unahitaji MUONGOZO/REGULATIONS kutoka katika mamlaka husika. Wakiachwa hivi ni rahisi sana kujisahau na kuwaumiza na kuwakatisha tamaa wakulima.
Ukiangalia historia ya kilimo Tanzania na hili halikwepeki kwa Mchumi yoyote yule katika vitu vilivyowakatisha tamaa watanzania kulima ni udalali/madalali
Sent using Jamii Forums mobile app
Literally speaking, unamaana hata killing one person to serve the rest is ethical hata kama mahakama haijatoa hukumu?