Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Tehtehteh....Hivi mlishajifanya mna hela sana eti!!!!
Kila mara mnaongelea kuombwa hela ili hali hata wanaume na nyie mnatuomba sana, tena sana tu.
https://www.jamiiforums.com/threads...kwa-dhati-huwa-hamuombi-pesa-emoji16.1596056/
[emoji38] huyo aolewe na benki tu hakuna namnaTehtehteh....
Kuna mdada anasema humu asipoomba pesa ndani ya siku tano ataumwa tumbo hadi aombe apone.
Hapendi tu pesa mkuu.[emoji38] huyo aolewe na benki tu hakuna namna
Basi apambane na hali yakeHapendi tu pesa mkuu.
Benki hazina
- Gari
Six packs
-good sex
-sense of hu....
Wanawake wasioomba pesa wapo,ila tatizo moja wana vitambiHivi mlishajifanya mna hela sana eti!!!!
Kila mara mnaongelea kuombwa hela ili hali hata wanaume na nyie mnatuomba sana, tena sana tu.
https://www.jamiiforums.com/threads...kwa-dhati-huwa-hamuombi-pesa-emoji16.1596056/