Jina la movie hii tafadhali

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
18,684
Reaction score
45,614
Naomba kufahamu jina la movie hii wakuu👇👇
 

Attachments

  • VID-20190828-WA0004.mp4
    9.1 MB
Siijui ila waweza kupiga namba ya simu hiyo naona hapo wameweka kwenye hicho kiclip
 
Hii sio ile movie ya Adolf Hitler..

Hao watu wamepanga mstari wanaenda kuchomwa moto
 
Escape frm sobibor hiyo icho kipande daah nakichukiaga sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…