Jimbo la ukonga ni dugu moja na jimbo la segerea,shida inafahamikaJimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika
Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
Wananchi?? Umesahau kama tupo Tanzania??Jimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika
Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
Shida ni CCMJimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika
Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
Hivi lami kwa mpemba kivule hapo haijafika tuJimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika
Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
Hata waongezewe miaka 300Hilo ni jimbo la uchaguzi mahususi kwa kuongeza kura za CCM, Chunguza wabunge wote waliowahi kuongoza hilo jimbo uone kama kuna kitu waliwahi kulifanyia jimbo .... wanaonekana kwenye kampeni za uchaguzi tu!.🥱[emoji2958]
Mbunge wenu yupo bungeni kujaza vyoo tuJimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika
Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
Utasikia guys wapinzani wametuchelewesha sana..... tunataka mafiga matatu....Mbunge hapigi sarakasi sasa itakuaje kuhusu hizo barabara.
Au nasema uwongo ndugu zangu
DuhMbunge yeye kazi yake kuchukua wake za watu na kuwapangia nyumba,hakuna mbunge pale
Duh aiseMbunge yeye kazi yake kuchukua wake za watu na kuwapangia nyumba,hakuna mbunge pale
Lami ?Hivi lami kwa mpemba kivule hapo haijafika tu
Ova
Duu ! Awapeleke wapi yeye mwenyewe waifu of samu bade na shosti wakeMbunge yeye kazi yake kuchukua wake za watu na kuwapangia nyumba,hakuna mbunge pale
weweee kweli?....kumbe ni waifu?[emoji23]Duu ! Awapeleke wapi yeye mwenyewe waifu of samu bade na shosti wake
Hii ndo shortcut yangu kila siku kwenda Mjin kutokea Kitonga.kuna kipande kutoka mbande kwenda msongola aisee kina vumbi labaa kile kipande...watu wa msongola tungepita banana hapa kungekuwa na lami ingekuwa short cut