Jimbo la Ukonga, shida ni nini?

Nyerere Rd hadi Gongo la Mbot-lazima iwe 4 lane-way 2.
Kitunda Road-ipanuliwe toka junction ya Pugu rd.

Banana/Pugu rd hadi Kinyerezi ipanuliwe zaidi at least 3 lanes.
 
Jimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika

Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe ?
Kwa kweli barabara nyingi za Jimbo la Ukonga ni mbaya hasa ya kwetu Majohe kuelekea Lada chuo sijui mbunge wetu Slaa haoni kadhia hii pamoja na madiwani kura zetu mtazisikia kwenye Bomba nyie endeleeni kulala
 
Hilo ni jimbo la uchaguzi mahususi kwa kuongeza kura za CCM, Chunguza wabunge wote waliowahi kuongoza hilo jimbo uone kama kuna kitu waliwahi kulifanyia jimbo .... wanaonekana kwenye kampeni za uchaguzi tu!.🥱🤫
 
Hilo ni jimbo la uchaguzi mahususi kwa kuongeza kura za CCM, Chunguza wabunge wote waliowahi kuongoza hilo jimbo uone kama kuna kitu waliwahi kulifanyia jimbo .... wanaonekana kwenye kampeni za uchaguzi tu!.🥱[emoji2958]
Nakuunga Mkonoooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli barabara nyingi za Jimbo la Ukonga ni mbaya hasa ya kwetu Majohe kuelekea Lada chuo sijui mbunge wetu Slaa haoni kadhia hii pamoja na madiwani kura zetu mtazisikia kwenye Bomba nyie endeleeni kulala
Sema Jerry ana Majibu flan ya Kukataaa na Shokaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna mbunge anayetuwakilisha sahihi wana Ukonga. Mbunge tuliyenae akisimama bungeni anajidai kuongelea mambo ya kitaifa zaidi kuliko ya jimbo lake. Anatoa machozi kisa mkandarasi wa barabara ya mwendokasi kule mbagala kupewa tenda nyingine lakini anasahau jimbo lake.
Jimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika

Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
 
Jimbo hili lilipaswa liwe halmashauri ama wilaya inayojitegemea kubwa mno ndiomana linawashinda kazi.

Serikali iligawe liwe halmashauri inayojitegemea..hakika litapaa kwa maendeleo kwa haraka zaidi kuliko ilivyo hivi sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jimbo hili lilipaswa liwe halmashauri ama wilaya inayojitegemea kubwa mno ndiomana linawashinda kazi.

Serikali iligawe liwe halmashauri inayojitegemea..hakika litapaa kwa maendeleo kwa haraka zaidi kuliko ilivyo hivi sasa.

#MaendeleoHayanaChama
Sure
 
Yuko analilia tenda z kampun huko mbagala- halafu watu wa ukonga wamezubaa sanaa.

hili jimbo lina kada wa CCM wengi ambao shule kichwani hamna na wengi ni WAKURYA( hawa ni wabishi ******* na huwaambii kitu kuhusu CCM no matter mbunge asifanye kitu wao ni YES)

Binafsi nimelihama hilo jimbo - ni TAKATAKA TU
 
Punguza hasira mkuu
 
Walisema wapinzani wanawacheleweshea maendeleo.

Baada ya Waitara kuunga juhudi mkono , nilifikiri pamekuwa Manhattan.

Kwa taarifa hizi basi huyo mbunge hafai ,
na hizo barabara ziko chini ya TARURA..Watakuwa wameshindwa wajibu wao.
 
Ukonga imekuwa na viongozi wasio na msaada,ubunifu wala uwajibikaji kwa wananchi kwa muda mrefu,ndio maana jimbo limebaki nyuma sana kimaendeleo.kwamfano barbrb ya Bnn-kitunda-kivule-msongola,Tanroads wamekuwa wakisaidia kuijenga kwa awamu kwa nini kwa miaka mitatu mfululizo wasingeombwa waendelee kwa hizo awamu za kupunguza msongsmano kama Makongo-Goba,madale,etc,ungekuta ishaisha. kwa kuwa Tarura wameonekana uwezo wao mdogo,wakati Halmashauri ya Jiji ndio mkusanyaji wa mapato makubwa,kwanini zisifanyike jitihada za makusudi kupata fungu kwa tarura kwa ajili ya brbr za ukonga?.mradi wa dmdp 3 mpaka leo ni ahadi tu. wakati ukisubiriwa kuwe na jitihada nyingine,ikiwemo hata kumsumbua Innobash au ikishindikana kabisa Kumsumbua Mama kilio chao kisikike na, aweze kusaidia kwani mkono wake ni mrefu.
 
Jimbo la Ukonga linaongoza kuwa na Barabara Mbovu,
Banana - Kitunda - Kivule - Msongola
Mombasa - Bomba mbili - Mbondole
Gongola Mboto - Majoe - Mbondole
Pugu mpaka Chanika

Shida ni Uongozi au ni wanachi wenyewe?
Barabara ya Pugu Chanika hiyo lami imeharibika? Au kuna nyingine ya mkato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…