Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
Lucy Lameck alikuwa mbunge wa wapi?Mkuu ubaguzi wangu nikusema ukweli kwani kwajimbo la vijijini ususani kwa wachaga kuongozwa na mwana mke ni ndoto mkuu sibagui lakini kimjini mwanamke anaweza kushinda lakini propaganda za kisiasa kijijini zina wabana sana.
Lucy Lameck alikuwa mbunge wa wapi?
Tuondoe unafiki jimbo la moshi vijiji wapinzani waki msimamisha mwana mke wata pigwa mapema sana
Mkuu ubaguzi wangu nikusema ukweli kwani kwajimbo la vijijini ususani kwa wachaga kuongozwa na mwana mke ni ndoto mkuu sibagui lakini kimjini mwanamke anaweza kushinda lakini propaganda za kisiasa kijijini zina wabana sana.
Tatiso la watu wa kibosho watamuelewa mwanamke?ndiyo ni karne ya 21,lakini navikiri bado sana!!!!
Ujanielewa tu mkuu ndio maana nikasema yeyote alie fanya harakati vijijini anajua ugumu wa hili jambo mfumo dume bado nimwingi sana pia chaguzi na propaganda unazijua?
The legend Lucy Lameck is back in the name of Lucy Owenya.Marehemu Lucy Lameck alikuwa mbunge wa jimbo la Moshi (kabla halijagawanywa kuwa Moshi Mjini na Moshi vijijini) aliyeleta maendeleo kuliko mbunge yeyote Moshi. Sasa tunamrudisha Lucy Lameck kupitia wakina wake Lucy Owenya.
kwa hiyo Wapare wameelimika zaidi ya "Wakishmundu" sio? 😛oa Si haba mnapochekwa kuwa Wakishmundu ni watu wa mwisho Duniani ni halali yenu! nimeamini...na Lucy Lameck alikuwa Mbunge wa wapi tena enzi hizoo...!Sio upuuzi huo ndiyo muonekano,huyo kirango ni huko upareni,moshi vijijini milimani upande wa juu kama unaelekea arusha!!
Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha CHADEMA.
Hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha Lucy Ndesamburo au Antony Komu watawapa ushirikiano wa dhati Jancy au Cyril ambao ni CCM.
Hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya CHADEMA hususani wakibosho kuzaraulika.
sisi tunamtaka lucy owenya mwaka huu moshi vijijini tumeamua
Wachaga wamefikua hatua ya kuchagua mbunge kulingana na sehemu anayotoka na si hoja au uwezo wake!
Nimekuelewa bro,na nilichokuwa nasema mimi huo mfumo dume,sana tuu!!!
Dhambi ya ubaguzi mbaya sana sasa hivi mnaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe.Unafiki wa u -kibosho na u- uru umezidi kulipasua jimbo la moshi vijijini hususani kwa upande wa upinzani hii ni kutokanana na kujitokeza kwa mtia nia kutokea kibosho kwa chama cha CHADEMA.
Hii imelivuruga jimbo huku wakibosho wakianza minongono ya iwapo watampitisha Lucy Ndesamburo au Antony Komu watawapa ushirikiano wa dhati Jancy au Cyril ambao ni CCM.
Hii ni kutokubaliana na kutokuwepo kwa demokrasia ndan ya CHADEMA hususani wakibosho kuzaraulika.
Teh Teh ubaguzi ndani ya chadema ni nature....
Jimbo tunampa lucy owenya. Historia inaonesha kuwa mbunge aliwahi kulisaidia jimbo la moshi vijjn ni wa kike ambaye anaitwa lucy lameki. So huyu mama ndo anatufaa.