Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu hivyo vitatu.

Inasadikika pia ni kigagula Fundi wa gambos,lakini pia mhusika asiyeonekana mwenye makengeza wa scandals zite zilizotikisa Tanzania kama EPA,ESCROW nk.
Anayefahamu kupokea rushwa kwa ustadi namna hiyo haikosi hata jinsi ya kuwapa rushwa wapiga kura anashindwaje?Hivyo kwa Ubunge hawa Wazee labda aachie mwenyewe.
Kuna mama mjamzito aliumwa uchungu akajifungua kwenye mkutano wa Chenge na wananchi,mtoto akapewa jina la "Chenge" palepale akatangaza Chenge kuwa huyu mtoto ndiyo atarithi Ubunge.
Sasa dogo bado hata miaka kumi hajafikisha mpaka akue siyo leo.